April 24, 2025
Knockout ya Mama Phase 4
Asante Raisi wa Tanzania kwa kutushika mkono na Kibegi cha Raisi.
Read More🔥 Knockout ya Mama – Season 6 sasa inapanda level mpya kabisa! 🌍
Msimu huu tunavuka mipaka tukishirikiana na Azam TV ili kuwafikishia mashabiki burudani ya ndondi za kiwango cha juu, si tu Tanzania bali kimataifa. 🥊✨
📆 Tarehe ya Pambano: 10 Oktoba 2025
🥊Ibrahim Mafia
🥊Juma Choki
🥊Magoma Jr
🥊Salmin Kassim aka Mizinga
👉 “Ukiingia ulingoni ujue ni vita ya heshima – ni ama ushinde kwa knockout au uondoke ukiwa hadithi ya kusimuliwa! 💥👑
Tunawakaribisha wadhamini (Sponsors) wote wanaopenda kuunga mkono na kudhamini pambano hili kubwa la kimataifa! 🌍
👉 Fursa ya kipekee kutangaza brand yako kupitia event yenye msisimko mkubwa.
📆 Tarehe ya pambano: 26 July 2025
Stay tuned for full details!
Kwa mawasiliano zaidi:
👉 DM kwenye kurasa zetu
👉 au piga simu 📞 0719684290 (Anatoli).
Msimu Mpya, Mizuka Mpya! Mafia Wazindua Knockout ya Mama 4 - Pambano la Historia Laja!
Knockout ya Mama msimu wa 4 yazinduliwa kwa kishindo na Mafia, ikileta burudani ya hali ya juu na pambano la aina yake.
Katika jukwaa hili moto, bondia maarufu Yohana Mchanja almaarufu Computa atatetea mkanda wake wa WBA Global kwa mara ya kwanza mbele ya mashabiki wenye kiu ya ubabe na ubingwa.
Habari Zetu
April 24, 2025
Asante Raisi wa Tanzania kwa kutushika mkono na Kibegi cha Raisi.
Read More
April 18, 2025
Kocha khamis mwakinyo akihakikisha bongia anapata mafunzo yenye tija kwa michezo.
Read More
April 10, 2025
Dulla Mbabe akipata mazoezi makubwa na yenye ushindi chini ya Mafia Boxing Promotion
Read More
April 24, 2025
Mafia Boxing Promotions imejikita katika kuandaa mapambano ya ndondi yenye ushindani mkali na ubora wa juu ili kuonyesha vipaji bora na kuinua hadhi ya mchezo huo. Matukio yetu yanatoa jukwaa kwa mabondia
Soma Zaidi
April 18, 2025
Mabondia wa Mafia Boxing wanaendelea kuonyesha nidhamu na kujituma, ndani na nje ya ulingo. Kama sehemu ya kushiriki safari yao na mafanikio waliyopata, wanakwenda kushiriki mahojiano maalum na waandishi wa habari. Mazungumzo hayo yataangazia mafanikio yao, changamoto walizokumbana nazo, na matarajio yao ya baadaye katika mchezo wa ndondi.
Soma Zaidi
April 10, 2025
Mafia Boxing imewapatia wajasiriamali wanawake mkoani Tanga majiko ya gesi safi kama sehemu ya uwajibikaji kwa jamii. Lengo ni kupunguza gharama za nishati, kuboresha mazingira ya kazi, na kulinda mazingira. Hii ni sehemu ya juhudi zao kuwawezesha wanawake na kukuza maendeleo endelevu ya jamii.
Soma Zaidi